David Melela,Msimamizi wa Viwanja vya Gofu Lugalo |
Uongozi wa klabu ya Gofu Lugalo umesema kuwa baada ya kumalizika kwa mvua ambayo iliharibu miundombinu ya viwanja hivyo sasa viwanja vimefanyiwa matengenezo na sasa wanamichezo wa gofu wanakaribishwa rasmi katika viwanja hivyo kucheza.
Msimamizi wa Viwanja hivyo amabaye pia ni mchezaji wa kimataifa wa gofu David Melela, amesema kuwa viwanja hivyo viliharibika kutokana na mvua nyingi zilizokuwa zikinyeesha.
No comments:
Post a Comment