Mambo yanazidi kuwa mazuri
kwa wanaoenda na wakati kadri siku zinavyo zidi kwenda kufuatia ukuaji wa
kitekenolojia siku hadi siku, hali hii
inazidi kuleta manufaa na msukumo mkubwa wa kimaendeleo Duniani hasa kwa kurahisisha vyanja za
utendaji kazi katika biashara.
Dar es salaam Kampuni ya Candy and Candy imekuja kivingine
msimu huu wa Ramadhan kwa kutumia mfumo mpya tulio uanzisha wa kiteknolojia
“Nikohub”tumeanza mchakato wa kufuturisha watu 100 kila siku kwa muda wa siku
kumi.
Ili upate kushiriki Futari
unatakiwa ku-download Nikohub kwenye
Play Store katika simu yako. Kisha jiunge ili tuweze kukuona kwenye mfumo wetu
na uingie kwenye list ya watu 100 watakao kula futari leo.
Ukifanikiwa ku-downloda
tutumie SMS au piga 0765802457 tukuelekeze sehemu ya kwenda kula futari maeneo
ya huko uliko ni bure!.
No comments:
Post a Comment