UEFA SUPER CUP Jumatano
hii kule Hispania mambo ni hivi, mambo ni moto!!
Nani atakuwa
bingwa ya Super Cup, kati ya Real Madrid Na Atletico Madrid Jumatano hii? Usikose
mechi hii kali ya mabingwa hawa mawili wakiwania ubingwa wa jumla wa Super Cup
ndani ya DStv , Ni Jumatano hii saa 4
usiku kupitia Supersport 3 iliyopo kwenye DStv pekee kifurushi Compact kwa sh.69,000
tu!
Bila kusahau, wateja wa DStv wanaweza pakua “Download
Application” ya DstvNow itakayowawezesha watanzania wengi kufurahia
msimu huu wa soka kwani unachotakiwa tu ni kuwa na akaunti yako ya DStv na
unaweza kutazama katika vifaa zaidi ya vinne kama vile simu, kompyuta, na
televisheni ya kawaida ukiwa mahali popote wakati wowote bila gharama ya ziada!
Ukiwa Na DStv, soka ni
mwanzo mwisho yani Moto hauzimi, na kama sio DStv, Potezea!
No comments:
Post a Comment