- Klabu nne za England watatambua wapinzani wao katika awamu ya makundi ya mashindano ya kuwania ligi ya mabingwa Ulaya wakati droo itakapofanyika leo Alhamisi.
- Manchester City itakuwa katika chungu cha kwanza na Manchester United na Tottenham Hotspur katika chungu cha pili huku Liverpool ikiwekwa kwenye chungu cha pili au cha tatu.
Droo inatarajiwa kufanyika Grimaldi Forum huko Monaco mwendo wa saa moja usiku saa za Afrika Mashariki.
Mabingwa kombe hilo ni Real Madrid ambao waliwafunga Liverpool katika fainali
No comments:
Post a Comment