Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philipo Mangua akimkaribisha Naibu Waziri za Mambo ya Nje
wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.
Makamau Mwenyekiti wa CCM-Bara Philipo Mangua (kulia) akiongoza mazungumzo baina yake na
Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017.

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ujenzi ya IDCPC Kanda ya Afrika, Wang Heming
akipigapicha mandhari ya eneo kitakakojenjwa Chuo Kikuu cha Viongozi wa Siasa cha Mwalimu
Nyerere, Kibaha mkoa wa Pwani, alipotembelea eneo hilo, jana, Agosti 30, 2017. Kushoto ni Katibu wa
NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinza.
wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017. Katikati ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole.

Naibu Waziri za Mambo ya Nje wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) Xu Luping (kulia) katika
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo Agosti 31, 2017.

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Ujenzi ya IDCPC Kanda ya Afrika, Wang Heming
akipigapicha mandhari ya eneo kitakakojenjwa Chuo Kikuu cha Viongozi wa Siasa cha Mwalimu
Nyerere, Kibaha mkoa wa Pwani, alipotembelea eneo hilo, jana, Agosti 30, 2017. Kushoto ni Katibu wa
NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ngemela Lubinza.
No comments:
Post a Comment