BREAKING
ROSE MHANDO :MSAMA NI BABA KWANGU ACHENI KUNIGOMBISHA NAYE.   UPANDIKIZAJI WA MENO BANDIA KWA NJIA YA KISASA MUHIMBILI MLOGANZILA 45 KUNUFAIKA NA HUDUMA    UTEKAJI WA WATOTO MKUU WA MKOA WA MBEYA JUMA HOMERA AWATAKA WANAFUNZI WA HOLY LAND PRE- & PRIMARY SCHOOL KUKATAA LIFTI   MSAMA ANG'AKA WAIMBAJI WA IN JILI KUPOTOKA MAADILI   DCEA YAFANIKIWA OPERESHENI DAWA ZA KULEVYA YAKAMATA JAHAZI DAWA ZA KULEVYA   NAIBU WAZIRI MKUU AKARIPIA UZEMBE TANESCO   MHE. RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA MHE. XI JINPING    MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA..   RAIS SAMIA NCHINI KENYA-ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI   RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA-KENYA    Blogger Tips and Tricks & Blogger Templates

Monday, April 07, 2025

Saturday, 12 August 2017

KAMPUNI YA SAMSUNG YAHITIMISHA PROMOTION YA NUNUA SAJILI NA USHINDE KWA KUTOA ZAWADI YA JUMLA (GRAND PRIZE) KWA MSHINDI

 Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kushoto) akikabidhi zawadi ya jumla (inayojumuisha Samsung microwave oven, friji na TV inch 42 ) kwa Bw Rajabu Kassim Mchatta (kulia), mshindi wa  bahati nasibu ya ‘Nunua, Sajili na Ushinde’ iliyolenga kupambana na bidhaa feki nchini. Makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya Samsung jijini Dar es salaam ikihashiria hitimisho ya promotion hiyo.

 Bw Rajabu Kassim Mchatta (kulia), mshindi wa zawadi ya jumla ya  bahati  nasibu ya ‘Nunua, Sajili na
Ushinde’ akikagua zawadi yake mara baada ya  Makabidhiano. kushoto ni Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung

Rayton Kwembe Mkuu wa kitengo cha bidhaa za majumbani Samsung Tanzania (katikati kulia) akishikana mkono na mshindi wa zawadi ya jumla ya bahati nasibu ya ‘Nunua Sajili na ushinde’ Bw Rajabu baada ya Makabidhiano yalifanyika makao makuu ya Samsung jijini Dar es Salaam. Kulia Meneja Bidhaa wa Samsung, Bw. Elias Mushi na Bi Lailatu Jethwa Meneja Mauzo wa kampuni ya Samsung (kushoto)

 

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube