BREAKING
ROSE MHANDO :MSAMA NI BABA KWANGU ACHENI KUNIGOMBISHA NAYE.   UPANDIKIZAJI WA MENO BANDIA KWA NJIA YA KISASA MUHIMBILI MLOGANZILA 45 KUNUFAIKA NA HUDUMA    UTEKAJI WA WATOTO MKUU WA MKOA WA MBEYA JUMA HOMERA AWATAKA WANAFUNZI WA HOLY LAND PRE- & PRIMARY SCHOOL KUKATAA LIFTI   MSAMA ANG'AKA WAIMBAJI WA IN JILI KUPOTOKA MAADILI   DCEA YAFANIKIWA OPERESHENI DAWA ZA KULEVYA YAKAMATA JAHAZI DAWA ZA KULEVYA   NAIBU WAZIRI MKUU AKARIPIA UZEMBE TANESCO   MHE. RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA MHE. XI JINPING    MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA..   RAIS SAMIA NCHINI KENYA-ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI   RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA-KENYA    Blogger Tips and Tricks & Blogger Templates

Monday, April 07, 2025

Monday, 14 August 2017

RONALDO ALIMVYOJIBU MESSI KWA KUWASOMESHA JEZI YAKE MASHABIKI WA BARCELONA PALE CAMP NOU




Kama unakumbuka ilikuwa Aprili, mwaka huh pale Lionel Messi aliposhangilia baada ya kufunga bao mwishoni katika El Clasico kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid, akaamua kushangilia kwa kuwaonyesha mashabiki wa Madrid jezi yake.

Messi aliionyesha jezi hiyo kwa mashabiki wa Madrid na kuzua gumzo, lakini leo Cristiano Ronaldo naye amejibu akiwaonyesha mashabiki wa Barcelona jezi namba 7, waisombe baada ya kufunga bao la pili katika mechi ya Spanish Super Cup.

Madrid imeshinda kwa mabao 3-1 katika mechi hiyo lakini Ronaldo aliyeingia, alikumbana na red card baada ya kupata yellow mbili. Mechi ya pili dhidi ya timu hizo itakayopigwa Agosti 17 kwenye dimba la Santiago Bernabeu itaamua bingwa.

Baada ya kufunga bao hilo alivua jezi na kuwaonyesha mashabiki hao, sawasawa na alivyofanya Messi, Aprili, mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube