Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,
Christina Mndeme baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma
Desemba 11, 2016 na kesho anatarajiwa kwenda Singida kuwa mgeni rasmi
kwenye sherehe za Maulid. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment