Mabingwa wa Uefa Champions League kwa mara ya 11, Real Madrid wamerejea kwao Hispania na kupokelewa kwa shangwe ile kinoma.
Madrid
wamerejea katika jiji la Madrid saa chache baada ya kubeba ubingwa huo
kwa mikwaju 5-3 ya penalti dhidi ya wapinzani wao wakubwa Atletico
Madrid.
Mechi
ya fainali ilichezwa katika jiji la Milan, kwenye Uwanja maarufu wa San
Siro na mechi hiyo kutazamwa na zaidi ya watu milioni 200 duniani kote.
No comments:
Post a Comment