BREAKING

Tuesday, 24 May 2016

ASHA BARAKA AJITOSA KUSAIDIA UCHANGIAJI WA MADAWATI

Mkurugenzi wa Bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka akizungumza na waandishi wa habari.

BENDI ya Twanga Pepeta inatarajia kufanya uzinduzi wa  Albam yake mpya ya Usiogope Maisha, uzinduzi unaotarajiwa kufanyika jijini Mwanza, katika Ukumbi wa Villa Park.

Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari, mkurugenzi wa wa bendi hiyo Asha Baraka amesema kuwa uzinduzi huo pia utakuwa sehemu ya kuchangisha Fedha kwa ajili ya kumuunga mkono Mkuu wa mkoa katika kuchangia madawati ambapo amesema cd 50 za mwanzo zitauzwa kwa ajili ya mchango huo

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube