BREAKING

Monday, 18 September 2017

ARSENAL HAWAKUWA NA BAHATI MECHI YA CHELSEA, KOCHA WENGER ANENA

 Kocha wa Arsenal,. Arsene Wenger 

















Kocha Mkuu wa ArsenalArsene Wenger amesema mchezo dhidi ya wapinzani wao Chelsea bahati haikuwa upande wao kwani walicheza kandanda la kuvutia muda wowote na wapinzani wao walikuwa chini ya kiwango.

Wenger pia amelalama kuhusu mchezo huo kuwa kocha alikuwa upande wa wenyeji ikiwepo kukataliwa bao lao.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube