EmmanuelOkwi ameendelea kuwaziba midomo baadhi ya mashabiki wa soka ambao walimwita Mhenga wakimaanisha kuwa mchezaji huyo umri wake umekuwa mkubwa sasa.
Katika mchezo kati ya Mwadui FC na Simba uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru Okwi alifunga mabao 2 katika ushindi wa mabao 3-0.
Bao lingine lilifungwa na John Bocco na kuifanya timu ya Simba kuwafukuzia kwa akaribu Mtibwa Sugar ambao kwa sasa wamefikisha pointi 9.
No comments:
Post a Comment