BREAKING

Monday, 22 January 2024

RAIS SAMIA :JESHI LA WANANCHI JWTZ JIPANGENI UCHAGUZI UNAKUJA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Lugalo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua Mkutano wa CDF na Makamanda kwa mwaka 2023 tarehe 22 Januari, 2024.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda kabla ya kufungua mkutano wa Makamanda kwa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.




Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa mkutano wa CDF na Makamanda uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.


Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa kwenye Mkutano wa CDF na Makamanda uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji (CGI) Dkt. Anna Makakala kwenye picha ya pamoja na Maafisa Wanawake wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mara baada ya kufungua Mkutano wa CDF na Makamanda kwa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube