BREAKING

Monday, 1 January 2024

DKT .MWINYI AONGOZA MATEMBEZI YA TAMASHA LA KITAIFA LA MAZOEZI










WANANCHI wa mitaa ya Amani Unguja wakimsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati akiongoza matembezi ya Tamasha la Kitaifa la mazoezi ya Viungo, lililoazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa mazoezi ya pamoja ya viungo yaliyofanyika leo 1-1-2024

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube