BREAKING

Thursday 9 November 2017

DSTV YALETA CHANNEL MAALUM AMBAYO ITAONYESHA TUZO ZA AFRIMA 2017.

DStv inakuletea chaneli maalum itakayoonyesha Tuzo za AFRIMA 2017.
Wateja wa DStv wamepata nafasi ya kushuhudia Tuzo kubwa Afrika zinazotoa heshima na kutambua mchango wa wasanii kutoka Afrika,  kimataifa.
Ni Tuzo za AFRIMA (The All Africa Union Music Award channel) ambazo zinatarajiwa kufanyika Jumapili hii na DStv imekuletea chaneli maalum kwa ajili ya kuonyesha matukio yote muhimu na utoaji wa Tuzo hizi.

Chaneli hii imeanza  kuanekana kuanzia Novemba 9 na inapatikana kwa wateja wote wa DStv kupitia namba 198 iliyopo kuanzia kifurushi Bomba cha sh.19,000 tu. Kwa kipindi cha siku tatu mfululizo,  wateja wa DStv watafurahia burudani kadha wa kadha kutoka kwa wasanii waliochaguliwa kwenye Tuzo hizi ikiwemo matamasha mbali mbali ya ndani na nje ya Bara  la Afrika kutoka kwa wasanii hawa.

Ni wakati wa watanzania  kushuhudia wasanii wetu wakipokea Tuzo zao za kimataifa  LIVE kupitia DStv pekee, Lipia Kifurushi chako cha DStv sasa kuanzia kifurushi Bomba kwa sh.19,000, ili usipitwe na Tuzo hizi.


Majina ya wasanii kutoka Tanzania na vipengele walivyochaguliwa ni:

Best Female Artist in Eastern Africa
Lady Jaydee – Sawa na Wao
Nandy- One Day
Feza Kessy - Walete
Vanessa Mdee- Cash Madame

Best Male Artist in Eastern Africa
Ali Kiba – Aje
Diamond Platnumz – Eneka

African Fans Favorite
Darassa- Muziki

Best African Collaboration
Ali Kiba ft. MI – Aje

Best Artiste/ Group in African Contemporary
Ali Kiba ft. MI – Aje

Best Artist in African Pop
Diamond Platnumz- Eneka

Best Artist / Group in African R n B & Soul
Ali Kiba – Aje

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube