Mwamuzi David Fields kutoka Marekani akimuondoa bondia Anthony Joshua (kushoto) huku mpinzani wake, Wladimir Klitschko akijikokota kuinuka baada ya kuanguka na kushindwa kuendelea na pambano raundi ya 11 usiku wa jana Uwanja wa Wembley, London.  Kwa ushindi huo wa KO raundi ya 11, Anthony Joshua ametwaa mataji ya IBF, WBA na IBO na ndiye anakuwa bingwa mpya asiyepingika wa uzito wa juu duniani: KUTAZAMA PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA..