BREAKING

Thursday, 11 August 2016

SIMBA USO KWA USO NA URA ,COMPLEX JUMAPILI




Simba baada ya kumaliza Sherehe zao za kutimiza miaka 80 ya klabu hiyo sambamba na kusherekea sherehe zao za Simba Day huku wakiifunga timu ya AFC Leopards mabao 4-0, sasa kikosi hicho kinatarajiwa kuumana na URA ya Uganda Jumapili,katika Uwanja wa Azam Complex ,Chamazi.

Mchezo huo ni mwendelezo wa kukipima kikosi hicho kinachosukwa na kocha Omog Raia wa Cameroon, ambaye amekusanya nyota saba kutoka nje ya Tanzania ambao katika mchezo wa juzi waling'ara.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube