BREAKING

Thursday, 24 March 2016

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII JUMANNE MAGHEMBE ATUMBUA MAJIPU KWA AFISA MTNDAJI MKUU WA MISITU TFS





Waziri wa maliasili na italii Jumanne Maghembe ametangaza kuwasimamisha kazi Afisa mtendaji MKUU na wakurugenzi watatu wa huduma za misitu Tanzania -TFS  kwa kutuhumiwa kutoa vibali vya kusafirisha magogo bila utaratibu na kusababisha magogo yenye thaman ya 500milion ambayo yalitaifishwa  kuchomwa moto na kusababisha hasara.  Pia nyani 61 wakamatwa uwanja wa kia.  Hayo na mengine mengi endelea kutembelea blog yako hii pendwa

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube