BREAKING

Sunday, 13 March 2016

TAWLA YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU AFYA YA UZAZI NA CHANGAMOTO ZAKE

1
Afisa Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime Bateyunga akifungua mafunzo kwa wanahabari hawapo pichani yanayolenga kujenga uelewa kwa waandishi wa habari kuhusiana na masuala ya haki ya afya ya uzazi Changamoto wanazokutana nazo na namna ambavyo matumizi ya sheria za kimataifa kama Maputo Protocal yataweza kupunguza Chanagamoto hizo, Semina hiyo ya siku mbili ilikuwa ikifanyika Luther House Azania Front jijini Dar es salaam na imemalizika leo.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
2
Wanahabari wakimsikiliza Afisa Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime Bateyunga wakati akifungua semina hiyo jana.
4
Dk. Ali Said kutoka muhimbi akiwasilisha mada katika mafunzo hayo kuhusu utoaji miba usio salama na madhara yake.
5
Goodness Mrema Afisa habari na mawasiliano TAWLA akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa semina hiyo leo.
6
Afisa Mipango wa TAWLA Bi. Sara Kinyaga kulia akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuendesha mafunzo hayo kwa waandishi wa habari leo.
7
Maofisa wa TAWLA pamoja na waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja nmara baada ya kumalizika kwa semina hiyo leo jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube