KATIBU MKUU CHONGOLO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA .
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe Daniel Chongolo lakutana na na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Balozi Chen Mingjian, Ofisini kwake katika , Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment