RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw.Aboud Talib Aboud (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa Jumuiya wa Wastaafu na Wazee Zanzibar (JUWAZA) Bi. Salama Kombo akizungumza na kuelezea kazi za jumuiya hiyo na kutoa shukrani kwa kuongeza kwa Pencheni Jamii kwa Wazee, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 7-6-2023 na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Bw.Aboud Talib Aboud
No comments:
Post a Comment