MOTO HAUZIMWI……….
Kutoka DStv tunakuambia hivi, moto
hauzimwii
Utakuwa ni wakati wa burudani ya aina
yake ,kuanzia Julai 13 hadi 31, kila mteja wa DStv ambaye akaunti yake iko
hewani atazawadiwa chaneli zote za michezo na za Watoto buree kabisa!
Amini usiamini…., utashuhudia mieleka
na mbio za magari za langalanga(Formula 1) kupitia Supersport 1,2,3,4,5,6,7 na
8.
Ofa hii haijawaacha Watoto kwani nao
wataweza kushuhudia katuni mpya za peppa pig/munki and trunk na cloudy with a
chance of meetballs kupitia Cartoon network, Disney, Nickleodeon na Cbeebies.
Hii si ya kukosa…….. au vipi?
Hakikiksha tu akaunti yako haijakatika
na kama imeatika wahi kulipia akauti yako leo usipitwe na of a hii ya aina yake!
Kumbuka ni chaneli zote za Supersport
na katuni (Watoto) bila kijali kifurushi ulichopo.Unangoja nini?
#KamaSioDStvPotezea
No comments:
Post a Comment