Antoine Griezmann ameisaidia timu yake ya Atletico de Madrid kutwaa ubingwa wa Kombe la EUROPA League kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Marseille ya Ufaransa.
Griezmann ameweza kucheka na nyavu mara mbili huku moja likifungwa na Gabi kwenye dakika ya 89 ya mchezo.
Madrid waliingia hatua ya fainali baada ya kuiondoa Arsenal kwa jumla ya mabao 2-1
No comments:
Post a Comment