BREAKING

Friday, 2 February 2018

JINSI GIROUD ANAVYOPASHA KUIKOKOA CHELSEA


Mshabuliaji mpya wa Chelsea, Olivier Giroud ameanza mazoezi akijifua tayari kuanza kuitumikia timu yake mpya.


Giroud raia wa Ufaransa amejiunga na Chelsea akitokea Arsenal, zote za London, England.





No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube