Michy Batshuayi ameendelea kufanya vema huku akiendelea kupachika mabao akiwa na kikosi chake kipya cha Borussia Dortmund.
Batshuay amefunga mabao mawili katika michuano ya Kombe la Europa wakati Dortmund iliposhinda kwa mabao 3-2 dhidi ya Atalanta ya Italia katika michuano ya Eurola League.
Mshambuliaji huyu amejiunga na Dortmund akitokea Chelsea ambayo ilimtoa ili kumpisha Olviere Giroud aliyekuwa anatokea Arsenal.
No comments:
Post a Comment