Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shoza, amesema kuwa wasanii nguli wa muziki wa dansi, ambao hivi karibuni walipata msamaha wa rais Nguza Viking pamoja na mwanaye Papii Kocha ,kwa lengo la kutaka kujua mipango yao ya kisanaa kwa sasa baada ya kuwa huru.
Amesema katika mazungumzo hayo wasanii hao wamesema kuwa wapo tayari kurudi kufanya muziki mzuri na kurejesha furaha ya mashabiki katika muziki wa dansi ambao kwa miaka mingi waliikosa.
No comments:
Post a Comment