Afisa Maendeleo ya Jamii wa Jiji
la Tanga,Mwatumu Dossi akifungua kongamano la Wanawake Jijini Tanga
ambalo lilikuwa na lengo kuu la kujadili masuala mbalimbali ya kiuchumi
kwa wanawake ikiwemo fursa za kiuchumi sambamba na kupambana na dawa za
kulevya kwa jamii lililofanyika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tanga
leo
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Jiji la Tanga,Mwatumu Dossi wa pili kutoka kulia akiteta jambo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tree of Hope ya Jijini Tanga, Fortunata Manyeresa wakati wa kongamano la wanawake Jijini Tanga kuelekea siku ya wanawake dunia kushoto ni Rehema na Yahaya Seumbe ambaye ni Afisa kutoka Ofisi ya Maendeleo ya Jamii kwenye Jiji la Tanga wakifuatilia kongamano hilo.

Baadhi ya Wakina wanawake
jijini Tanga wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa
kwenye kongamano hilo
Sehemu ya Umati wa wanawake
wakifuatilia kwa umakini kongamano hilo la wanawake wa Jiji la Tanga
kuelekea siku ya wanawake Dunia ambapo kilele chake itakuwa ni Machi 8
mwaka huu
Baadhi ya waandishi wa habari
jijini Tanga wakifuatilia kwa umakini kongamano hilo wa kwanza kulia ni
Burhan Yakub wa gazeti la Mwananchi,Bertha Mwambele wa TBC TV na Sussan
Uhinga wa Clous TV
Sehemu ya wakina wanawake Jijini
Tanga wakifuatilia kwa umakini kongamano la wanawake kuelekea siku ya
wanawake ambapo kilele chake ni Machi 8 mwaka huu
Afisa Maendeleo ya Jamii wa Jiji
la Tanga,Mwatumu Dossi akizungumza na waandishi wa habari jijini Tanga
kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Dunia Machi 8 mwaka
huu mara baada ya kufungua kongamano la wanawake Jijini
Tanga.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tree of
Hope ya Jijini Tanga, Fortunata Manyeresa akizungumza na waandishi wa
habari jijini Tanga baada ya kumalizika kwa kongamano hilo ambapo
alisema kuelekea siku ya wanawake kutafanyika shughuli mbalimbali za
kijamii
No comments:
Post a Comment