Lucas Perez akipongezwa na wachezaji wenzake wa Arsenal baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 71 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Nottingham Forest kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa City. Perez alifunga bao lingine dakika ya 60, wakati mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Granit Xhaka dakika ya 23 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 93
Granit Xhaka akifungua akaunti ya mabao katika ushindi wa mabao 4-0 kwa shuti kali mita 35.
No comments:
Post a Comment