KILI QUEENS WALIVYOTWAA TAJI LA CECAFA UGANDA
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Kili Queens imerejea jijini Dar es Salaam, ikiwa sama, huku ikiwa na furaha ya kutwaa Ubingwa wa kombe la CECAFA baada ya kuichapa kwa mabao 2-1 timu ya Kenya katika mchezo wa Fainali jana.
Kikisi hicho kinachonolewa na kocha Sebastiani Mkoma kimeleata heshima katika soka la wanawake kwa kuibuka mabingwa katika michuano hiyo ambayo ni mara ya kwanza kufanyika kwa upande wa wanawake.
No comments:
Post a Comment