Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya sh. 415,800,000/= kutoka
Chama cha Waagizaji wakubwa wa mafuta nchini (TAUMA ) ukiwa ni
mchango wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano
hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba
29, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea michango mbalimbali kwa ajili yawaathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 29, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea michango mbalimbali kwa ajili yawaathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera, ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 29, 2016
No comments:
Post a Comment