BREAKING

Thursday, 29 September 2016

MAJALIWA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA KOREA YA KUSINI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa makampuni mbalimbali kutoka Korea ya Kusini ambao wamekuja Tanzania kuona fursa mbalimbali za uwekezaji. Mazungumzo hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam  Septemba 27, 2016. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika  picha ya pamoja na  viongozi wa makampuni mbalimbali ya Korea Kusini ambao wapo nchini kuona fursa  mbalimbali za uwekezaji  nchini. Picha hiyo ilitanguliwa na mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 27. Watatu kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  Angelina Mbula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa akikabidhiwa jezi yanye maneno  Hapa Kazi Tu  iliyotolewa na wawekezaji kutoka Korea ya Kusini waliokuja nchini kuona fursa mbalimbali za uwekezaji.  Awali Waziri Mkuu alizungumza na wawekezaji hao ofisini kwake jijini Dar es salaam Septemba 27, 2016. Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube