Afisa Mawasiliano ya nje Azam -Irada Mahadhi akieleza jambo kwa wanahabari.
kurugenzi uendeshaji wa vipindi vya Azam TV,Yahaya Mohmed akieleza jambo mbele ya wanahabari hawapo pichani.
Kampuni ya Azam Media imezindua Promosheni yake mpya ya Full Dowzii kutwa mara tatu ambapo wateja watajishindia Ving'amuzi bure.
Katika Promosheni hiyo,mteja atajishindia zawadi hiyo ambayo itadumu kwa mwaka mmoja,bila kutozwa gharama zozote,.na hapa Afisa Mawasiliano ya nje Azam Irada Mahadhi ameeleza zaidi kuwa hiyo yote ni kuwafikia wateaja wao ambao wamekuwa nao bega kwa bega , huku Mkurugenzi uendeshaji wa vipindi vya Azam TV,Yahaya Mohmed akisema kuwa uzalishaji wa vipindi vingi katika kampuni yao wameoina ni vyema wateja wakaangalia kwa gharama ndogo jambo ambalo limefanya kuanzisha Promosheni hiyo.
No comments:
Post a Comment