TERRY APEWA MAZOEZI MAALUM TAYARI KUWAKABILI YA ARSENAL
Nahodha wa Chelsea, John Terry ameanza maandalizi makali kuhakikisha anaivaa Arsenal wikiendi hii.
Terry amekuwa majeruhi na kuifanya safu ya ulinzi ya Chelsea kukosa Kujiamini muda wote katika safu hiyo ambapo Sasa anapewa mazoezi maalum, ili awe fiti na kuwavaa vijana wa Arsenal Wenger.
Chelsea itakuwa dimbani kuwavaana na Arsenal na italazimika kufanya vizuri baada ya kupoteza mechi iliyopita kwa kufungwa na Liverpool.
No comments:
Post a Comment