BREAKING

Friday, 22 January 2016

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA HOSPITALI YA PERAMIHO SONGEA


Waziri Ummy Mwalimu akisalimiana na Padri Lucius wa hospitali ya Peramiho Mheshimiwa Ummy Mwalimu akizungumza na Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Peramiho, Dr Venance Mushi, alipotembelea hospitali hiyo asubuhi ya leo Baadhi ya wanachama wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), wakiwa 
sehemu ya mapokezi, tayari kwa kupata huduma
Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiwafariji wagonjwa hospitalini hapo

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube