Waziri Mkuu, Kassim Majalliwa
akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama Buneni
mjini Dodoma Januari 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Job Ndugai
(kulia) akimwapisha Waziri wa Elimu , Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo
ya Ufundi Joyce Ndarichako, bungeni mjini Dodoma Januari 27,
2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Habari,Utamaduni,
Wasanii,na Michezo Nape Nnauye akitoa kauli Bungeni mjini Dodoma
Januari 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akisalimiana na wabunge kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma
Januari 27, 2016. Kutoka kushoto ni Ruth Mollel wa Viti Maalu Chadema,
Hawa Mwinga wa Viti Maalum Cahdema na Ali Saleh wa Malindi. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mwenyekiti wa Bunge, Mtemi
Andrew Chenge akiongoza kikao cha Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe,
Bungeni mjini Dodoma January 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment