Wednesday, 29 November 2017
Wednesday, 22 November 2017
TPB BANK ,MULTICHOICE p Bank, KUWAPATIA WATANZANIA DSTV KWA MIKOPO
Benki ya Tpb imeingia kwenye makubaliano rasmi na kampuni ya Multichoice ambapo wafanyakazi, wateja na hata wale wasio wateja sasa wanaweza kupata ving’amuzi vya DStv...
19:20
APOEL WALAZWA NA VIATU KWA KICHAPO CHA MABAO 6-0 KUTOKA KWA REAL MADRID WAKIWA NYUMBANI
Modric na Ronaldo wakishangilia baadhi ya mabao
+22
Cristiano Ronaldo ameendelea kuwaweka rekodi katika soka baada ya kufunga mabao mawili...
09:16
MHE MWANJELWA AWAAGIZA WAFANYABIASHARA WA MBOLEA NCHINI KUACHA HARAKA KUUZA MBOLEA KWA ZAIDI YA BEI ELEKEZI

Mgeni Rasmi-Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza kwa makatibu tawala na washauri wa kilimo wa mikoa ya nyanda...
08:56
Wednesday, 15 November 2017
MULTICHOICE YAJA NA OFA KABAMBE YA FUNGA MWAKA NA DSTV
Dar
es Salaam Jumatano November 15, 2017; Kama ilivyo ada, katika msimu huu
wa sikukuu, Multichoice tanzania imetangaza neema kwa watanzania kwa
kutoa ofa
...
14:40
Monday, 13 November 2017
MAGULI ALIVYOMFUTA MACHOZI MBWANA SAMATTA,STARS KUPANDA VIWANGO VYA FIFA....

Timu ya Tanzania 'Taifa Stars' imeendelea kuwa mbabe wa timu ya Taifa ya Benin baada ya kuwaliazimisha wenyeji hao kwa sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Kimataifa...
09:02
MHANDISI MTIGUMWE AITAKA BODI YA KAHAWA KUONGEZA UZALISHAJI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo
Mhandisi Mathew Mtigumwe akikagua kiwanda kidogo cha uzalishaji wa kahawa katika Bodi ya Kahawa mara baada ya kuwasili Ofisi hizo kwa ziara...
08:48
Friday, 10 November 2017
DC NZEGA ASEMA SAYANSI NA TEKNOLOJIA HAIKWEPEKI KATIKA KILIMO
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Shila Wilayani Nzega mkoani Tabora wakiwa wamebeba mbegu ya Viazi lishe wakielekea kwenye shamba darasa wakati wa uzinduzi wa shamba...
09:11
Subscribe to:
Posts (Atom)