BREAKING NEWZ:HUYU NDIYE NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Dkt.Tulia Ackson Mwansasu
Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt .Tulia Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11, kwa kura 250 sawa na asilimia 71.2% dhidi ya mpinzania wake Mh.Magdalaena Sakaya aliyepata kura 101, sawa na 28.8%.
No comments:
Post a Comment