BREAKING

Friday, 2 October 2015

MAMA SAMIA ALIVYOFUNIKA JIMBO LA MUSOMA MJINI KATIKA KAMPENI ZAKE.

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara leo
 Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika leo katika eneo la  Mwisenge jimbo la Musoma mjini
 Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni wa Mama samia uliofanyika leo katika eneo la  Mwisenge jimbo la Musoma mjini
 Aliyekuwa ameomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Nkenge mkoani Kagera Asupta Mshama, akihutibiamaelfu ya wananchi leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara leo
 Wasanii wa Bongo Movie wakimsikiliza kwa makiniMgobea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia suluhu Hassan wakati wa kutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mwisenge jimbo la Musoma Mjini mkoani Mara
 Wasanii wa Bongo Movie wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samaia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Mwisenge jimbo la Musoma mjini leo
 Baadhi ya waangalizi wa uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25, mwaka huu, kutoka Jumuia ya Madola, wakifuatilia hali ya mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan, uliofanyika leo Mwisenge jimbo la Musoma mjini mkoani Mara
 Mmoja wa wananchi akimpongeza aliyekuwa muomba nia kugombea Ubunge jimbo la Nkenge Asupta Mshama baada ya kukongwa na hotuba aliyoitoa katika katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Mwisenge jimbo la Musoma mjini mkoani Mara
 Kina mama wa Jimbo la Musoma mjini wakimzawadaia mkeka  Mgombea Mwenza wa Urais kwa tikti ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mwisenge jimbo la Musoma mjini mkoani Mara
 Mgombea Ubunge jimbo la Musoma mjini David mathayo akizungumza katika msiba wa Ndugu yake, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM alipoenda kushiriki kuaga mwili wa marehemu huyo nyumbani Musoma  leo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa kutoa salam za rambirambi wakati wa kuaga mwili wa Ndugu yake Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Mjini Mathayo david mathayo leo katika jimbo hilo
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akitoa heshima kwa mwili wa ndugu wa mgombea Ubunge jimbo la Musoma Mjini Mathayo david Mathayo leo katika jimbo hilo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akitoa pole kwa familia ya Ndugu wa Mgombea Ubunge jimbo la Musoma mjini Mathayo david Mathayo aliposhiriki kuaga mwili wa marehemu kwenye shughuli ya kuaga mwili huoiliyofanyika katika jimbo la Musoma mjini mkoani Mara leo

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube