BREAKING

Sunday, 6 September 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA KAMPENI MAALUM YA KUITANGAZA TANZANIA NA VIVUTIO VYA UTALII KIMATAIFA

 RAIS Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akizindua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Kushuto ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.
 RAIS Jakaya Kikwete, akizndua kampeni maalumu ya kuitangaza Tanzania na vivutio vya utalii kimataifa uliofanyika jana usiku katika Hoteli ya Hyatt Kempinski, Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu. Kushuto ni Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi.

 WAJASIRIAMALI na wadau wa utamaduni walikuwepo katika kunogesha uzinduzi huo, ambapo vitu mbalimbali vya utamaduni ziliuzwa.
 WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahamoud Mgimwa, wakifuatia kwa makini uzinduzi wa mkakati huo
  NGOMA ya watanashati au Wazee wa Mnanda walikuwepo kutoa burudani kwa wageni.
 RAIS Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhme Meru, wakishangilia baada ya uzinduzi wa tangazo hilo.

No comments:

Post a Comment

Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube