Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani. |
Saturday, 12 September 2015
WASANII BONGO MOVIE WANOGESHA KAMPENI ZA MGOMBEA MWENZA CCM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment