BREAKING

Saturday, 19 September 2015

MUSCUT-OMAN NCHI YA HISTORIA KUTOKA UMASIKINI HADI UTAJIRI WA ASILIMIA 90, MFALME QABOOS, MSWAHILI ALIYEMPINDUA BABA YAKE ALIYESHINDWA KULETA MAENDELEO ZAIDI...SASA NI NCHI YENYE HISTORIA WASOMI WOTE HUAJIRIWA NA SERIKALI, INA WATU MILIONI NNE TU, MILIONI MOJA WAGENI TATU WAZAWA.

 Balozi wa Tanzania nchini Oman BWANA ALI AHMED SALEH akisalimiana na Grace, mtanzania anayejishughulisha na biashara ya mavazi
 

 Mkurugenzi wa Shamakala 360.blogspot.com Said makala akibadilishana mawazo na mfanyabiashara wa uchongaji nchini Oman Idd kabla ya krejea nchini Tanzania.


Moja ya Usafiri wa Ndege zifanyazo safari kutoka Muscut Oman kuja Afrika
 Muonekano wa Muscut Jangwa lisilo na miti lakini lililojaa mafuta


    Muonekano wa Uwanja wa kisasa wa Ndege Nchini Oman 

    Muscut-Oman

               Mdau nikiwa katika himaya ya kifalme ya Mfalme Qaboos

No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube