Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo eneo la Majohe kwa Warioba, jimbo la Ukonga, Dar esSalaam, leo.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, alipohutubia mkutano wa kampeni leo katika jimbo la Ukonga, Dar es Salaam
Mgombea Ubunge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa Mgobea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia,uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Maelfu ya waanchi wakimsikiliza Mgombea Ubuge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa alipowahutubia mkutano wa kampeni katika jimbo hilo leo
Wema Sepetu (kushoto) akiwa na wasanii wenzake ambao wamo katika kampeni ya MAMA ONGEA YA MWANAO AMPE KURA DK. MAGUFULI, kumsaidia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, kusaka kura za Mgobea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Ukonga leo
Mmoja wa wasanii hao wa Bongo Movie, akimsalimia kwaraha, Mama Samia wakati wa mkutano huo wa kampeni jimbo la Uknga.
Wema Seoetu akimsalimia Mama Samia wakati wa mkutano huo
Wema Sepetu akisalimia maelfu ya wananchi kwenye mutano wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia leo katika jimbo la Ubungo.
Wasanii waiopo katika mpango wa Mama Ongea na Mwanao ampe kura Dk. Magufuli, wakiwasilimia wananchi katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika jimbo la Ukonga leo
Mgombea Ubunge jimbo la Ukonga, Jerry Silaa akijadili jambo na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo jimboni humo, Dar es Salaam.
Wananchi wakishangilia wakati mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia suluhu Hassan, wakati akiondoka baada ya mkutano wa kampeni uliofanyika leo jimbo la Ukonga Dar es Salaam.
Wananchi wakiondoka mmoja baada ya mwingine baada ya mkutano wa kampeni kumalizika leo katika jimbola Ukonga, Dar es Salaam
Saidi Mabera akilicharaza gita la solo, Bendi ya Msondo ilipotumbuiza leo wakati wa mkutano wa kampeni za CCm uliofanyika leo, Amana, Ilala katika jimbo la Ilala jijijini Dar es Salaam.
Bamango ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, yakiwa yametawala wakati wa mkutano wa kamapeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika leo katika jimbola Ilala jijini Dar es Salaam leo
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia alipowasili katika viwanja vya Amana, jimbo laIlala dar es Salaam, kuhutubia mkutanowa kampeni uliofanyika leo
Katibu wa CCM mkoawa Dar es Salaam, abilah Mihewa akiwatayarisha wananchi kabla ya mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia kuhutubia mkutano wakampeni katikajimbo la Ilala leo
Mwenyekiti wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, mwenye ulemavu Abubakari Rakeshi akimuombea kura Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Ilala, Dar es Salaam.
Katibu Mwenez wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba Gadaffi, akimkaribisha kuzungumza na wananchi aliyekuwa Katibu Mwenezi wa mkoa huo, Hajji Manara, katika mkutano wa kampeni wa Mama Samia uliofanyika jimbo la Ilala Dar es Salaam leo
Haji Manara akihutubia wananchi katika mkutao huo
Haji Manara akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika leo jimbo la Ilala, Dar es Salaam. Katikati ni Mbunge wa Ilala Azan Zungu
Mgombea Ubunge jimbo la Ilala Azani Zungu akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo leo
Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia suluhu Hassan akihutubia wanachi katika mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Ilala leo
Wananmuziki wakitumbuiza katika mkuano wa kampeni uliofanyika leo jimbo la Segerea dar es Salaam
Msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia aukiwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo jimbo la Segerea Dar es Salaam
Shamrashamra zikiwa zimeshamiri kumlaki Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM mama samia alipowasili kwenye mkutano wa kampeni jimbo la Segerea leo
Mgombea Ubunge jimbo la Segerea Bonna Kaluwa, akiomba kura baada ya kutambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Mama Samia wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika jibohilo leo.
No comments:
Post a Comment