BREAKING
ROSE MHANDO :MSAMA NI BABA KWANGU ACHENI KUNIGOMBISHA NAYE.   UPANDIKIZAJI WA MENO BANDIA KWA NJIA YA KISASA MUHIMBILI MLOGANZILA 45 KUNUFAIKA NA HUDUMA    UTEKAJI WA WATOTO MKUU WA MKOA WA MBEYA JUMA HOMERA AWATAKA WANAFUNZI WA HOLY LAND PRE- & PRIMARY SCHOOL KUKATAA LIFTI   MSAMA ANG'AKA WAIMBAJI WA IN JILI KUPOTOKA MAADILI   DCEA YAFANIKIWA OPERESHENI DAWA ZA KULEVYA YAKAMATA JAHAZI DAWA ZA KULEVYA   NAIBU WAZIRI MKUU AKARIPIA UZEMBE TANESCO   MHE. RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA MHE. XI JINPING    MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA..   RAIS SAMIA NCHINI KENYA-ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI   RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA-KENYA    Blogger Tips and Tricks & Blogger Templates

Friday, April 04, 2025

Saturday, 11 November 2023

PAHALA FULANI KWA WATU FULANI TONYTOX GARDEN- NDANI YA KIGAMBONI...

PAHALA FULANI KWA WATU FULANI TONYTOX GARDEN- NDANI YA KIGAMBONI...
&nb...

Wednesday, 25 October 2023

RAIS DKT .SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI IKULU -ZAMBIA

RAIS DKT .SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI IKULU -ZAMBIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili...

TAWA YAFADHILI MRADI WA UJENZI WA MADARASA KALIUA, WANAFUNZI WAELEZA HISIA ZAO.

TAWA YAFADHILI MRADI WA UJENZI WA MADARASA KALIUA, WANAFUNZI WAELEZA HISIA ZAO.
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefadhili mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili, ofisi moja ya walimu na jumla ya madawati 30...

Monday, 16 October 2023

RAIS SAMIA AKIWA ZIARANI SINGIDA -APEWA HESHIMA YA MAMA WA TAIFA

RAIS SAMIA AKIWA ZIARANI SINGIDA -APEWA HESHIMA YA MAMA WA TAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba wakati wa Mkutano wa Hadhara uliofanyika kwenye...

Wednesday, 11 October 2023

MAONYESHO YA BIDHAA ZA KUKU KUFANYIKA DAR....

MAONYESHO YA BIDHAA ZA KUKU KUFANYIKA DAR....
Chama cha wafuga kuku Tanzania (The Poultry Association of Tanzania) kimeandaa maonesho ya siku mbili ya bidhaa za kuku yatakayofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam tarehe...

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY OFISI NDOGO ZA CCM, DAR ES SALAAM

KINANA AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY OFISI NDOGO ZA CCM, DAR ES SALAAM
Makamu Mwenyekiti wa  Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na  Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes...

Friday, 29 September 2023

MPUTA AGROVET :MABINGWA WA KUUZA VIUWATILIFU NA MBEGU MBALIMBALI ZA KILIMO WALIO KWENYE RAMANI YA MH.RAIS DKT .SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE KILIMO

 Wakala wakuu wa uuzaji na usambazaji wa mbegu za Kilimo sambamba na Viuwatilifu kampuni ya Mputa Agrovet wameendelea kuwakaribisha wateja wake katika Soko Kuu la Kibiashara...

Wednesday, 6 September 2023

KLABU YA ROTARY TANZANIA 'YAMWAGA' MADAWATI 100 SHULE YA MSINGI MTAKUJA...

KLABU YA ROTARY TANZANIA 'YAMWAGA' MADAWATI 100 SHULE YA MSINGI MTAKUJA...
Klabu ya Rotary Tanzania  imekabidhi msaada wa  wa Madawati mia moja katika shule ya msingi mtakuja iliyopo Kata ya kunduchi Jijini Dar es Salaam ikiwa ni mwendelezo...
Page 1 of 174123...174 >
 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube