BREAKING

Friday 29 September 2023

MPUTA AGROVET :MABINGWA WA KUUZA VIUWATILIFU NA MBEGU MBALIMBALI ZA KILIMO WALIO KWENYE RAMANI YA MH.RAIS DKT .SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE KILIMO







 Wakala wakuu wa uuzaji na usambazaji wa mbegu za Kilimo sambamba na Viuwatilifu kampuni ya Mputa Agrovet wameendelea kuwakaribisha wateja wake katika Soko Kuu la Kibiashara la KISUTU Jijini Dar es Salaam.

Duka la Uuzaji Mbegu na madawa mbalimbali ya kilimo linapatikana katika Gorofa ya tatu ambapo pamoja na uuzaji wa dawa na mbegu za kilimo pia ni watoaji wa elimu bora ya kilimo na utumiaji wa dawa kwa matumizi yake....



No comments:

Post a Comment

 
Copyright © 2016 Shamakala
Designed by Switch International | SHAMAKALA 360
    Twitter Facebook Google Plus Vimeo Videosmall Flickr YouTube