Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Abdurahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Mhe. Tone Tinnes leo Jumatano, Oktoba 11, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es salaaam.
No comments:
Post a Comment