Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane ameonyesha kuwa kweli amepania baada ya kumpiga mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi kwa mabao yaliyofungwa mwaka 2017.
Kane amefunga mabao matatu au hat trick katika mechi Southampton ambayo imeisha kwa Tottenham kushinda kwa mabao 5-2.
Mabao hayo matatu yamemfanya Cane kufikisha mabao 56 mbele ya Messi ambaye sasa ana mabao 54 aliyofunga msimu wa 2017.
Baada ya Kane, Messi, wanaofuatia ni Cristiano Ronaldo, Edinson Cavani na Robert Lewandowski na ambao kila mmoja wanamaliza mwaka kila mmoja akiwa na mabao 53.
TAKWIMU:
- Kane, 56 goals (49 with Tottenham, 7 England)
- Messi, 54 goals (50 with Barcelona, 4 Argentina)
- Cavani, 53 goals (50 with PSG, 3 Uruguay)
- Lewandowski, 53 goals (44 with Bayern, 9 Poland)
- Cristiano Ronaldo, 53 goals (42 with Real Madrid, 11 Ureno)
No comments:
Post a Comment