Saturday, 1 March 2025
ROSE MHANDO :MSAMA NI BABA KWANGU ACHENI KUNIGOMBISHA NAYE.
Mwimbaji nguli wa Muziki wa Injili Afrika Mashariki na Kati, Rose Mhando amesema amekiri kwamba Mkurugenzi wa Msama Promotions ambaye ni mwandaaji wa matamasha mbalimbali...
Friday, 21 February 2025
UPANDIKIZAJI WA MENO BANDIA KWA NJIA YA KISASA MUHIMBILI MLOGANZILA 45 KUNUFAIKA NA HUDUMA
Katika kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita za kuboresha huduma za afya nchini Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imenza kambi maalum...
16:57
Thursday, 13 February 2025
UTEKAJI WA WATOTO MKUU WA MKOA WA MBEYA JUMA HOMERA AWATAKA WANAFUNZI WA HOLY LAND PRE- & PRIMARY SCHOOL KUKATAA LIFTI
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiwasili katika viunga vya wa Shuele ya HolyLand Pre-&Primary School ikiwa ni ziara ya Maendeleo ya Elimu, Kulia ni Mmliki wa Shule hiyo Lawena...
11:41
Tuesday, 4 February 2025
MSAMA ANG'AKA WAIMBAJI WA IN JILI KUPOTOKA MAADILI

Mkurugenzi wa Msama Promotions ndg Alex Msama Amewaonya waimbaji wote wa nyimbo za injili Ambao wamekuwa wakishiriki kwenye majukwaa na wasanii muziki wa kidunia, kwani kufanya...
09:55
Friday, 10 January 2025
DCEA YAFANIKIWA OPERESHENI DAWA ZA KULEVYA YAKAMATA JAHAZI DAWA ZA KULEVYA

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeeleza kuridhishwa na oparesheni zilizofanyika mwaka jana 2024 kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola ambapo...
14:46
NAIBU WAZIRI MKUU AKARIPIA UZEMBE TANESCO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Doto Biteko amekerwa na utendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) akitoa maagizo uongozi wa kituo cha miito ya simu...
12:53
Subscribe to:
Posts (Atom)