Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 24 Machi, 2024.
Baadhi ya Mawaziri wakipitia makabrasha na nyaraka mbalimbali wakati wa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Machi, 24.
No comments:
Post a Comment