Saturday, 20 July 2024
MHE. RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZA NA RAIS WA CHINA MHE. XI JINPING
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The Great Hall of the...
Friday, 19 July 2024
MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA..
.jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Watanzania wanaoishi nchini China (Diaspora) wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara, ...
18:20
Monday, 29 April 2024
RAIS SAMIA NCHINI KENYA-ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Kenya Mhe. Dkt. William Ruto mara baada ya kuwasili katika ukumbi...
10:56
RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA-KENYA
.jpeg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele...
10:52
Sunday, 7 April 2024
RAIS DK.MWINYI AONGOZA DUA KUMBUKUMBU YA KARUME

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kisomo cha Dua na Hitma ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti...
14:23
Thursday, 4 April 2024
RAIS SAMIA AWAAGIZA VIONGOZI WATEULE KUHESHIMIANA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kuwa nguzo kubwa katika kutatua migogoro iliyopo kwenye jamii na sio kuisababisha...
14:28
RAIS SAMIA: MAKONDA UMENIKOSHA UMETUCHANGAMSHA WANACCM

IKULU-Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuapisha aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Paul Makonda leo Aprili...
14:17
Wednesday, 3 April 2024
HAPI AULA U-KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) chini ya uenyekiti wa Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano, Aprili 3, 2024 imemteua aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa ya Iringa na...
19:10
NI JOKATE TENA UVCCM VIJANA..

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemteua Jokate Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa chama hicho (UVCCM) akichukua nafasi ya Fakii Lulandala ambaye...
19:01
MWENYEKITI SAMIA AONGOZA KIKAO KAMATI KUU CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dk. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichokutana leo Jumatano, Aprili 2024, jijini Dar Es Sal...
15:47
RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA ULINZI TAARIFA BINAFSI NA MIFUMO YA USAJILI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa...
14:46
Tuesday, 2 April 2024
DSTV WAZINDUA KAMPENI YA MFALME WA BOMA YAWEKA KIHISTORIA ...

Afisa maendeleo bodi ya Filam nchini Simon Peter, amewaka watunzi wa Filam nchini kuwa wabunifu ili kuendelea kutengeneza soko kubwa la ajira kwa wasanii huku akiwakumbusha...
16:11
ROTARY CLUB WATOA MAFUNZO KWA WALIMU 80 YA KIDIGITAL

Jacline Woiso-Mwanachama wa Rotary Club Moses Fransis Mkuu wa Shule ya Msingi KunduchiBaadhi ya wanachama wa Rotary Club na walimu wakifurahia jambo wakati wa Uzinduzi...
15:09
Subscribe to:
Posts (Atom)