Friday, 26 July 2019
LUKAKU AICHUNGULIA KWA MBAALI MAN U!....
Romelu Lukaku Muda mchache mara baada ya Manchester United kurejea England ikitokea ziarani barani Asia amekwea pipa kuelekea nchini Ubelgiji.Habari zinaeleza kuwa...
LIONEL MESSI KIBOKO YA RONALDO KWA MKWANJA...

Lionel Messi mshambuliaji wa Barcelona inayoshiriki La Liga yeye anaongoza kwa kukunja mkwanja mrefu kuliko wengine wanaopiga soka kwa sasa.Kwa mwezi anakunja euro...
17:44
KATIKA MAKOCHA 100 WANAOOMBA KUINOA TAIFA STARS HAKUNA KOCHA HATA MMOJA MZAWA, JE NI UOGA AMA MASILAHI KIDUCHU?

Wilfredy Kidao, Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa mpaka sasa tayari wamepokea maombi ya makocha 100 wanaotaka nafasi ya kuinoa timu ya Taifa.Katika...
17:40
TAHA WATAKIWA KUFANYA TAFITI ZA KUWAKOMBOA WAKULIMA NCHINI TANZANIA
Afisa Kilimo wa mkoa wa Morogoro Isabela Chilumba akiongea na wakulima na wageni waalikwa wakati wa sharehe za wakulima wa mazao ya mboga mboga yaliyoandaliwa Taasisi...
17:35
CHATO WAITAMANI DHAHABU YA KIJANI ILIYOPO WILAYA YA MUFINDI

Mkuu wa msafara huo Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi Msafiri akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa Rasilimali Misitu na Nyuki TFS, Zawadi Mbwambo jinsi...
17:32
Subscribe to:
Posts (Atom)